Habari za leo ndg Wapendwa?
Leo tunajifunza namna ya Kuflash au Kutoa parttern au Code number katika simu za Android pasina kuflash au ku-hard reset.
How To Remove Pattern Lock Without Factory reset (Without Losing Data)
Pasina kupoteza muda sasa twende mooja kwa moja katika somo letu hili.
1st]--- Inatakiwa ku- Download ADB Program kutoka hapa:
![]() |
| Download here via 4shared |
Download ADB from Here:
<<<<CLICK CLICK CLICK.>>>>
2st]--- Ni kufungua Start katika Computer yako au bonyeza kitufe cha window logo key
Open Start on your computer or press Window logo key
3st]Kisha katika search box type run au cmd
4st] Fungua Command prompt.
5ST]Baada ya kufungua Usilikate
Don’t close command prompt
6ST]Double click Adb uliyoidownload kisha install kwenye disk ya Window/Program/Adb
7ST]Baada ya hapo close command prompt ,
Zimisha simu yako ya android na Connect usb cable
Turn off your phone and connect usb cable
8ST]Press/Bonyeza Volume up/down kuinstall drivers cable kisha
9ST]kisha Ifungue tena na kisha copy na u-paste maneno haya kwenye Command prompt;
Open command prompt and copy and paste this:
adb shell
cd /data/data/com.android.providers.settings/databases
sqlite3 settings.db
update system set value=0 where name='lock_pattern_autolock';
update system set value=0 where name='lockscreen.lockedoutpermanently';
.quit
10ST]Kisha acha kama 30-60 sec then Reboot your phone.
If you like share and comment it
For any questions message me!
Thankx for all



